Sunday, October 23, 2011

miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania bara

Tumethubutu, Tumeweza, Tunazidi Kusonga Mbele

TUMETHUBUTU nini?
  • Kudai Uhuru
  • Kuunganisha Tanganyika na Zanzibar
  • Kuruhusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa
TUMEWEZA yapi?
  • Kulinda Mipaka Yetu
  • Kudumisha Muungano
  • Kuleta Umoja, Utulivu na Mshikamano
  • Kufanya Mapinduzi ya Kiuchumi
TUNAZIDI KUSONGA MBELE katika yapi?
  • Kupanua huduma za kiuchumi na kijamii
  • Mchakato wa Katiba mpya ya nchi
  • Ushirikiano wa kikanda, kibara na kimataifa
  • Maisha bora kwa kila mtanzania

No comments:

Post a Comment